Thursday 4 August 2016

MTU mmoja Afariki Dunia Akijaribu Kudandia Treni

 


DAR: Mtu mmoja amefariki dunia, baada ya kugongwa na treni eneo la Kamata wakati alipokuwa akijaribu kuidandia ikiwa katika mwendo.

Alidandia treni hiyo wakati ikiwa Kamata Kariakoo kwenda Stesheni akiwa na lengo la kugeuza nalo kwenda Pugu.

Taratibu za kuhifadhi mwili wake zinaendelea

No comments: