Thursday 4 August 2016

Lulu Michael Atoa Sababu za kumblock Mpenzi wake Majizo Kwenye Instagram

Muigizaji wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael 'Lulu' amemjibu mpenzi wake, Majizo baada ya kulalamika kuhusiana na sababu za kumblock kwenye akaunti yake ya Instagram, Majizo alilalamika kupitia akaunti yake ya  Instagram kwa alicho mtendea LULU.


HIKI ndicho alichopost  LULU Instagram

No comments: