Hapa ni link ya kuangalia kama umepata au laah unaandika namba ya form 4 na code walizokupa hapo
Kumbuka format ya form 4 no. ni s0001.0001.0001 na sio s0001/0001/0001
link hii hapa http://olas.heslb.go.tz/index.php/allocation/allocations/fresher_login
1 comment:
samahan naomba maelekezo ya ziada coz shida ipo kwenye namna ya kuingiza form four index no pia na code ambazo unakuwa umepewa????
Post a Comment