Madibadc

Tuesday, 16 August 2016

HABARI
New

Trump aeleza mpango wa kupambana na ugaidi

Fulgence Makayula 16:01:00 HABARI

Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Republican, Donald Trump

Image copyrigh
Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Republican, Donald Trump
Donald Trump ameeleza mpango wake wa kuifanya Marekani kuwa sehemu salama kwa kupambana na kile alichokiita kuwa ni ugaidi wa waislamu wenye itikadi kali. Amesema kama atachaguliwa kuwa rais wa marekani atabadilisha sera za mambo ya nje za nchi hiyo zenye lengo la kujenga taifa kwa kuwa na sera zenye uhalisia.
Akihutubia mkutano wake katika jimbo la Ohio, mgombea urais kupitia chama cha Republican alisistiza juu ya umuhimu wa mpango wa muda wa kuzuia viza za waombaji wanaotoka katika nchi ambazo zina historia ya kueneza ugaidi ,na kupendekeza kuanzishwa kwa
mifumo ya uchunguzi zaidi ikiwa ni pamoja na uchunguzi wa akauti zao za mitandao ya kijamii.
Aidha bwana Trump amesema kuwa yuko tayari kufanya kazi na nchi yoyote ile bila kujali tofauti za kiitikadi au mikakati akiwa na nia ya kusaidia kulitokomeza kundi la Islamic State.
Read more
Share This:
Facebook Twitter Google+ Pinterest Linkedin
HABARI
Posted by Fulgence Makayula at 16:01:00
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
MASHAIRI, MAKALA, PICHA, HABARI HABARI
Trump aeleza mpango wa kupambana na ugaidi Trump aeleza mpango wa kupambana na ugaidi Reviewed by Fulgence Makayula on 16:01:00 Rating: 5

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

MATOKEO

Popular Posts

Blog Archive

Categories

HABARI (244) VIDEO (52) AUDIO (47) MICHEZO NA BURUDANI (10) PICHA (9) MAKALA (6) USHAIRI (6) VITUKO UGHAIBUNI (2) FLASHBACK (1)

Search This Blog

About Me

My photo
Fulgence Makayula
Tanzania
View my complete profile

Contact Form

Name

Email *

Message *

Followers

Total Pageviews

Translate

Contact us

Name

Email *

Message *

Menu

  • Home
Fulgence Makayula. Powered by Blogger.
Created By Sora Templates | Distributed By Gooyaabi Templates