Tuesday 16 August 2016

Profesa Muhongo apiga marufuku mafuta ya transfoma Kukaangia Chipsi


Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amepiga marufuku mafuta ya transfoma kukaangia chipsi na kutengezea mikorogo.

Profesa Muhongo aliyasema hayo wakati akihutubia wana kijiji wa Kirongo wilayani Muheza Mkoani Tanga akiwa katika ziara yake ya kukagua miladi ya Umeme Vijijini inayotekelezwa na Mawakala wa Nishati Vijijini (REA) katika Mkoa huo. 

No comments: