Hillary Clinton
amekubali rasmi kuwa mgombezi wa Urais wa Marekani kupitia chama cha
Democratic, huku akisema wakati wa kupambana na mpinzani wake sasa
umeanza rasmi.
Alitoa wito kwa wanachama wote wa Democratic
kuungana naye huku akimkebehi mpinzani wake wa chama cha Republican,
Donald Trump, katika madai yake kuwa ni yeye pekee anayeweza
kuyasuluhisha matatizo ya Marekani.Alisema kuwa Wamarekani hufanya kazi kwa pamoja kyatatua yote yanayonufaisha taifa.
- Kiongozi wa Democratic nchini Marekani kujiuzulu
- Bill Clinton: "Rafiki yangu" Hillary anafaa kuwa rais
"Watu huniuliza kila wakati, huwa anawezaje kufanya haya? ... ni kwa sababu huwa hawasahau watu anaowatetea," amesema.
"Najua kwa moyo wangu wote kwamba mamangu atatufanya tujionee fahari."
CHANZO: BBC
No comments:
Post a Comment