Friday 20 May 2016

HASHIM RUNGWE: Watu wana njaa hawawezi kushiba Usaha wa Majipu



Akihojiwa na gazeti la mwananchi,aliyekuwa mgombea urais bwana Hashim rungwe amesema watu wana njaa na hawawezi kushiba usaha wa majipu.....kwa maoni yangu huu ni wito na kilio cha wananchi wa Tanzania kuhusu Maisha magumu,uchumi umeishinda srrikali kila mahali ni kilio,
IMG-20160520-WA0005.jpg

No comments: