Friday 13 May 2016

Ben Pol kuachia ‘Moyo Mashine’, video imeongozwa na Nick aliyeongoza Bado na Make Me Sing

Amesema kuwa video hiyo imefanyika Afrika Kusini na muongozaji ni Nick aliyeongoza video ya Make Me Sing ya Diamond, Bado ya Harmoze na Namjua ya Shetta.
Ameiambia 255 kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa ameamua kuutoa wimbo huo bila matangazo mengi kwakuwa hajataka kufuata formula iliyozoeleka.


No comments: