Thursday 10 November 2016

PICHA ZA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ALIPOTEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO NOVEMBA 10,2016


1HGGDXG



unnamedRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mke wake mama Janeth Magufuli aliyelazwa katika Hospitali ya Muhimbili wodi ya Sewa Haji akipatiwa Matibabu Novemba 10,2016
unnamed-1 Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali Waziri wa Zamani Balozi Ramadhani Mapuri ambaye amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu  Novemba 10, 2016
unnamed-4

unnamed-5Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwafariji baadhi ya wagonjwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea kuona wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu hapo  Novemba 10, 2016
unnamed-2 Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwapongeza kwa kazi nzuri baadhi ya madaktari na wauguzi kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016
unnamed-3

























Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia mkono wananchi alipokuwa akitoka wodi ya  Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu Novemba 10, 2016
CHANZO:blog ya Ikulu

No comments: