Mwanamke mmoja nchini Indonesia alitambuka kwa jina la Win Lia(40) amepata mnunuzi wa nyumba yake pamoja naye mwenyewe baada ya kuweka tangazo mtandaoni kwamba yeyote ambaye angenunua nyumba yake, angepata bakshishi kwa sababu angekuwa ameinunua nyumba pamoja na mwenyewe.
Mwanamke huyo mjane alijitangaza yeye na nyumbayake mnamo majuma kadhaa yaliyopita, nyumba hiyo ilikuwa ina vyumba viwili vya kulala,bafu mbili,bwawa la samaki,na WIFE kwa £51,000
- Tangazo aliloliweka nje ya nyumba yake lilisomeka hivi:, 'Buyers who don't negotiate the price can ask the owner to marry (terms and conditions apply).'
No comments:
Post a Comment