Madibadc

Friday, 28 October 2016

HABARI
New

Ubalozi wa Marekani nchini Kenya wafungwa baada ya Mtu Mmoja Kuuawa kwa Risasi Nje ya Ubalozi Huo

Fulgence Makayula 18:53:00 HABARI

Jeshi la Polisi jijini Nairobi nchini Kenya linafanya uchunguzi kuweza kubaini kama mtu mmoja aliyeuawa jana karibu na ubalozi wa Marekani alikuwa amekula njama za kushirikiana na watu wengine kufanya shambulio.

Mtu huyo (24) aliuawa jana asubuhi nje ya ubalozi wa Marekani Nairobi baada ya kumshambulia mlinzi kwa kumchoma na kisu tumboni ndipo Afisa mwingine wa Polisi akampiga risasi kichwani.

Inadaiwa kuwa kijana huyo alikuwa akilazimisha kuingia ndani ya ubalozi huo, na mlinzi alipomzuia ndipo akamchoma kwa kisu.

Maafisa watano wa FBI na maafisa wa Polisi nchini Kenya walikuwa karibu na eneo la tukio ambapo ni nje kidogo ya ubalozi wa Marekani. Tukio hilo limepelekea ubalozi wa Marekani kufungwa kwa muda hadi hapo hali ya usalama itakaporejea katika hali yake.

Read more
Share This:
Facebook Twitter Google+ Pinterest Linkedin
HABARI
Posted by Fulgence Makayula at 18:53:00
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
MASHAIRI, MAKALA, PICHA, HABARI HABARI
Ubalozi wa Marekani nchini Kenya wafungwa baada ya Mtu Mmoja Kuuawa kwa Risasi Nje ya Ubalozi Huo Ubalozi wa Marekani nchini Kenya wafungwa baada ya Mtu Mmoja Kuuawa kwa Risasi Nje ya Ubalozi Huo Reviewed by Fulgence Makayula on 18:53:00 Rating: 5

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

MATOKEO

Popular Posts

  • IJUE MAANA YA NDOTO YA KUJISAIDIA HAJA KUBWA UWAPO USINGIZINI
    IJUE MAANA YA NDOTO YA KUJISAIDIA HAJA KUBWA UWAPO USINGIZINI
        KITENDO CHA KUJISAIDIA HAJA KUBWA Mara nyingi ndoto huja kama fumbo au mfano ili kuelewa maana ya ndoto ulio ...
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI MAPINDUZI 2016
    NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE 2016 EXAMINATION RESULTS MAPINDUZI PRIMARY SCHOOL - PS1109028 WALIOSAJILIWA : 149 ...
  • India yaahidi kuwalinda waafrika
    India yaahidi kuwalinda waafrika
    Wanafunzi wa afrika walalamikia kubaguliwa nchini India. Serikali ya Ind...
  • Maalim Seif atikisa Zanzibar
    Maalim Seif atikisa Zanzibar
    Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akiwa na viongozi wa chama hicho alipowatembelea wazee wasiojiweza kat...
  • KANEMBWA
    KANEMBWA
    Kikosi 824KJ ...
  • KILIMO CHA ZAO LA TIKITI MAJI  ‘KILIVYOWATOA’ VIJANA KILOMBERO
    KILIMO CHA ZAO LA TIKITI MAJI ‘KILIVYOWATOA’ VIJANA KILOMBERO
    KILIMO CHA ZAO LA TIKITI MAJI  ‘KILIVYOWATOA’ VIJANA Na   Mhariri wa Blog Suala  la ajira limekuwa kilio cha mda mref...
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2016 IFAKARA SEKONDARI
    MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2016 IFAKARA SEKONDARI
    NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA ACSEE 2016 EXAMINATION RESULTS S0370 IFAKARA SECONDARY SCHOOL DIV-I = 36; DIV-II = 11...
  • TAZAMA JINA LAKO HAPA: Vikosi Walivyopangiwa Vijana kwa mujibu wa Sheria 2016
    BULOMBVORA-KIGOMA KIKOSI 821 KJ S/N MKOA NAMBA YA SHULE JINA LA SHULE JINSI JINA 1 DAR ES SALAAM S0298 FEZA GIRLS' SECONDARY SC...
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI MLABANI 2016
    NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE 2016 EXAMINATION RESULTS MLABANI PRIMARY SCHOOL - PS1109034 WALIOSAJILIWA : 57 WAL...
  • Jinsi ya kuangalia majina ya waliopata mkopo 2016/2017
    Jinsi ya kuangalia majina ya waliopata mkopo 2016/2017
    Hapa ni link ya kuangalia kama umepata au laah unaandika namba ya form 4 na code walizokupa hapo Kumbuka format ya form 4 no. ni s0001.000...

Blog Archive

Categories

HABARI (244) VIDEO (52) AUDIO (47) MICHEZO NA BURUDANI (10) PICHA (9) MAKALA (6) USHAIRI (6) VITUKO UGHAIBUNI (2) FLASHBACK (1)

Search This Blog

About Me

My photo
Fulgence Makayula
Tanzania
View my complete profile

Contact Form

Name

Email *

Message *

Followers

Total Pageviews

Translate

Contact us

Name

Email *

Message *

Menu

  • Home
Fulgence Makayula. Powered by Blogger.
Created By Sora Templates | Distributed By Gooyaabi Templates