Mapendekezo hayo ambayo pia yatajumuisha mapendekezo ya fedha zitakazotumika kufanikisha mradi huo ili kuondoa kero ya mafuriko kwa wakazi Mji wa Ifakara.
Barua ya mapendekezo hayo ya kitalamu ilibainishwa na Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh.PETER LIJUALIKALI kupitia tiketi ya CHADEMA ambapo aliwataka wanaanchi kuondoa hofu juu tatitzo la mafuriko ambalo limo katika moja ya ahadi zake za utendaji.
''Kupambana na mafuriko ni moja ya zilizokuwa ahadi zetu kwenu. Tumeamua kufanya utafiti wa kitaalamu kwa kutumia Wataalamu wa masuala haya''. Alisema Mh.Lijualikali kupitia kurasa ya Facebook

No comments:
Post a Comment