Tuesday 16 August 2016

Tattoo inayoweza kucontrol simu yako

Cindy Hsin-Liu Kao ambaye ni mwanafunzi wa PHD wa MIT Media Lab kwa kushirikiana na Microsoft wamebuni Tattoo ya muda ambayo itamuwezesha mtu kucontrol vifaa kama mifumo ya sauti na simu kwa kushika sehemu ya tattoo hiyo.
tatoo
Tattoo hizo zinaweza kutuma  na kupokea taarifa, kuunganisha wireless na smartphone kupitita NFC ambayo ni aina ya teknolojia inayotumika kwa ajili ya malipo kwa njia ya simu aidha inatumia betri inayoitwa Lithium polymer.
tatoo 2
tatoo12
UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI


No comments: