Monday 11 July 2016

VIDEO | Itazame Hii Diary Ya Alikiba Tayari Imetoka Ni Episode Ya Kwanza Yupo Yeye Na R Kelly


Alikiba ameanza kutimiza zile ahadi zilizotolewa katika mambo yake makubwa matano kwamba mojawapo ni hili la ROCKSTAR TELEVISION kuonyesha sehemu ya maisha yake ambapo leo wameanza na hii alivyoingia studio na mwimbaji staa wa Marekani R.Kelly.
Matukio mbalimbali yaliyowahi kufanywa na yanayofanywa na Alikiba yatakua yakionekana kupitia ROCKSTAR TELEVISION kama inavyoonekana hapa chini 

This video contains content from [Merlin] BecauseMusic, who has blocked it on copyright grounds.

Sorry about that.

No comments: