Sunday 17 July 2016

TCU WAONDOA UTATA JUU YA VIWANGO VYA CHINI KUJIUNGA NA MASOMO YA ELIMU YA JUU MWAKA 2016/2017

                                 



Tokeo la picha la TCU.GO.TZ

Kutokana na sinto fahamu nyingi na tafsiri mbalimbali kuhusu  ujumbe uliotolewa 11th July, 2016 wa  kubadili taratibu, vigezo na viwango vya chini vya sifa ya kujiunga na Vyuo Vikuu 2016/2017.
Hususani kwenye kiwango cha D Mbili kama ndicho kiwango cha chini kujiunga na chuo kwa muombaji wa kidato cjha sita ambaye amemaliza masomo yake ya A-Level kabla ya  mwaka 2014 na wale wote ambao wamemaliza masomo ya A-Level toka mwaka 2016.
Tume pia imefafanua kuwa kiwango cha chini cha vigezo vya kujiunga na chuo kwa mhitimu wa kidato cha sita ambaye amemaliza masomo yake ya A-Level kabla ya  mwaka 2014 na wale wote ambao wamemaliza masomo ya A-Level toka mwaka 2016 kwa alama mbili za ufaulu ( two principal passes) kwa pointi 4.0 kwa masomo mawili kulingana na kozi husika yaani ( A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1)  
ANGALIA JEDWALI LIFUATALO KUJUA VIGEZO VYA KUJIUNGA KWA VIWANGO VYA UFAULU

Possible scenarios of Entry Qualifications

TWOPRINCIPALPASSES
TOTALPOINTS
TWOPRINCIPALPASSES
TOTALPOINTS
TWOPRINCIPALPASSES
TOTALPOINTS
TWOPRINCIPALPASSES
TOTALPOINTS
A+A
10.0
B+B
8.0
C+C
6.0
D+D
4.0
A+B
9.0
B+C
7.0
C+D
5.0
A+C
8.0
B+D
6.0
C+E
4.0
A+D
7.0
B+E
5.0
A+E
6.0
Issued by

The Executive Secretary

Tanzania Commission for Universities 16th July, 2016
                                                                                    HOME

1 comment:

Unknown said...

kwa hiyo wamepunguza nini na wameongeza nini?