Thursday 23 June 2016

Mkubwa Fella azungumzia tetesi za Uhusiano wa Aslay na Ruby



Kama utakuwa unakumbuka hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii hususani instagram, utakuwa ulikutana na post za mastaa wa Bongofleva, Ruby na Aslay ambazO zilileta tafsiri kama wapo kwenye mahusiano, sasa hapa Mkubwa na Wanae Said Fella ametolea ufanunuzi kupitia Perfecto TV.

No comments: