Majimbo kumi na
moja ya Marekani yanaushtaki utawala wa Rais Barack Obama, dhidi ya
agizo lake kwamba shule za umma lazima wanafunzi waliobadili jinsia
kuchagua vyoo vya kutumia.
Utawala huo umetishia kutotoa fedha za
shirikisho kwa shule ambazo hazitazingatia agizo hilo, lakini madai hayo
yaliyofunguliwa mjini Texas serikali imesema kwamba inajaribu
kuzirejesha Shule katika maabara kwa ajili ya majaribio makubwa ya
kijamii.Utata umelenga katika jimbo la North Carolina,ambalo siku za hivi karibuni lilipitisha sheria likiwaruhusu watu waliobadili jinsi zao kutumia maliwato za umma kulingana na jinsi zinavyoonesha katika vyeti vyao vya kuzaliwa.
CHANZO: BBC
No comments:
Post a Comment