Waziri wa elimu Joyce Ndalichako amebanwa kuhusu kujitengea bilioni 8 kwa ajili ya kujikarabatia tu ofisi yake huku kukiwa na upungufu mkubwa wa miundombinu ya kufundishia na fedha ya kufidia elimu bure zikiwa hazitoshi Mbunge huyo amedai bilioni 8 zikigawanywa kwa madarasa ni madarasa mengi yatajengwa
TAZAMA HAPA
No comments:
Post a Comment