Spika wa Republican katika Baraza la
Wawakilishi la Marekani,Paul Ryan,amesema hayupo tayari kumuunga mkono
Donald Trump kuwa mgombea wa Urais kupitia chama hicho.
Mfanyabiashara
huyo bilionea anaonekana dhahiri kushinda katika mbio za uteuzi
kukiwakilisha chama hicho lakini Ryan alisema kuwa kabla hakuweza
kuidhinisha suala hilo,Na kuwa Trump alipaswa kuwaonyesha watu kuwa
anaheshimu taratibu za Republican na angepata kura za Wamarekani wengi
zaidi.
Katika kulijibu hilo Trump lisema hakuwa tiyari kuunga
mkono ajenda ya RyanMapema Marais wa zamani wa Marekani George W Bush na
babaye George Bush waliweka wazi kuwa hawatunga mkono kupita kwa Trump.
Chanzo BBC
No comments:
Post a Comment