Sunday 29 May 2016

Joti afanya video ya Malkia wa nguvu ya Linah

 

Muigizaji maarufu wa vichekesho nchini Tanzania Joti, amefanyia video wimbo wa Maliki wa nguvu wa mwanamuziki Linah Sanga wimbo ambao umebeba umaarufu sana kwa sasa

          Tazama video hapa


                      

No comments: